Latest

04:12 AM MAKALA

Nigeria waandamana kupinga machafuko.
Nigeria waandamana kupinga machafuko.

Wananchi nchini Nigeria wameandamana na kuitaka serikali ya Rais Goodluck Jonathan kutoeneza machafuko katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo.  Matamshi hayo yametolewa kwenye maandamano ya…

Read more »
31 May 2014

PICHA; ENEO WALIKOPATIKANA WASICHANA WATATU WAKIWA WAMEBAKWA NA KUNYONGWA NCHINI INDIA
PICHA; ENEO WALIKOPATIKANA WASICHANA WATATU WAKIWA WAMEBAKWA NA KUNYONGWA NCHINI INDIA

Eneo ambako miili ya wasichana waliobakwa ilipatikana ikining'inia kwenye mti. Watu nchini India wameghadhabishwa na uzembe wa polisi katika jimbo la Uttar Pradesh kufuatia tukio la wasichana wawili…

Read more »
31 May 2014

WABAKWA KISHA KUNYONGWA NCHINI INDIA
WABAKWA KISHA KUNYONGWA NCHINI INDIA

Wasichana wawili wa kihindi wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 13/15waliopatikana wakiwa wananing'inia kwenye mti katika jimbo la Uttar Pradesh, wamekutwa wakiwa wamebakwa kisha kuuawa. Kw…

Read more »
29 May 2014

AJALI ZAUA MKOANI IRINGA
AJALI ZAUA MKOANI IRINGA

Watu watatu wafariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika matukio tofauti tofauti mkoani Iringa likiwemo la abiria mmoja wa IT aliyejulikana kwa jina la Sandes Kazeze (22) mkazi wa Malawi kufari…

Read more »
29 May 2014

Wananchi wa manispaa ya Iringa wafunga barabara kuishinikiza manispaa ya kuondoa takataka zilizoa kaa kwa muda mrefu.

Vijana wakikusanya taka tayari kwa kuzolewa na kuondolewa kabasa kwa dampo katika eneo hilo. Wananchi katika eneo la Mlandege manispaa ya Iringa mwishoni mwa wiki iliyopita walichukua hatua ya kufung…

Read more »
26 May 2014

Picha; Wanajeshi wa Kenya wauawa na Al Shabaab.
Picha; Wanajeshi wa Kenya wauawa na Al Shabaab.

                               Wapiganaji wa Al Shabaab Serikali ya Kenya imethibitisha kuwa maafisa wake wawili wa jeshi wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa, baada ya wapiganaji wa Kiislamu wa A…

Read more »
26 May 2014

Picha; Magaidi wa Kikristo waua vijana Waislamu Afrika ya kati kwa kuwakatakata viungo.
Picha; Magaidi wa Kikristo waua vijana Waislamu Afrika ya kati kwa kuwakatakata viungo.

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 …

Read more »
26 May 2014

Video: Obama afanya suprise ya kutembea mitaani kwa miguu, akimbiliwa na mamia ya wananchi.
Video: Obama afanya suprise ya kutembea mitaani kwa miguu, akimbiliwa na mamia ya wananchi.

Read more »
23 May 2014

Kahaba mkongwe Uingereza asema ana mvuto!

 Bi Vogel-Couple kahaba mkongwe zaidi nchini Uingereza Katika Umri wa miaka 85, Sheila Vogel-Coupe ni kahaba mkongwe zaidi nchini Uingereza na kwa umri huo bado anaweza kutengeneza Pauni 250 kwa sa…

Read more »
22 May 2014

Moyes achunguzwa na polisi

 Aliyekuwa kocha wa Manchester United David Moyes anachunguzwa na polisi  Aliyekuwa kocha wa Manchester United David Moyes anachunguzwa na polisi nchini Uingereza baada ya kushtumiwa kuhusika kat…

Read more »
22 May 2014

Walimu waandamana Nigeria kutetea wanafunzi
Walimu waandamana Nigeria kutetea wanafunzi

 Maandamano yamefanyika kote duniani kutaka wasichana waliotekwa nyara kuachiliwa Walimu nchini Nigeria wanafanya maandamano ya siku moja kushinikiza serikali kuharakisha juhudi zake za kuwatafuta …

Read more »
22 May 2014

UNYAMA: MTOTO AFUNGIWA NDANI YA BOKSI NA MAMA YAKE MLEZI ILI ASIMWAMBUKIZE VIRUSI VYA UKIMWI

 Mtoto Nasra baada ya kutolewa kwenye box. Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE …

Read more »
22 May 2014
 
Top