Latest

04:12 AM MAKALA

Suarez amuomba msahama Chiellini
Suarez amuomba msahama Chiellini

 Suarez amuomba msamaha Chiellini kwa mara ya kwanza Mshambulizi wa Uruguay na Liverpool ya Uingereza Luiz Suarez sasa amemuomba msamaha mlinzi wa Italia Giorgio Chellinii kufuatia tukio la kum…

Read more »
30 Jun 2014

SAFARI YA MWISHO YA MWANAFUNZI DANIEL LEMA.

Mwili wa Daniel Lema ukiagwa na baadhi ya wanachuo pamoja na raia waliojitokeza kuhudhuria ibada ya kuuaga mwili wa marehemu mapema asubuhi ya leo katika hospitali ya rufaa mkoani iringa.   Baadhi ya…

Read more »
30 Jun 2014

Athari za kutazama televisheni; Wapo waliopoteza maisha.

Watu wanaotazama runinga kwa saa tatu au zaidi kila siku wako katika hatari ya kuaga dunia mapema kuwaliko wale wanaotazama kwa muda mchache. Hii ni kwa mujibu wa uchunguzi uliochapishwa katika jar…

Read more »
30 Jun 2014

R.I.P DANIEL LEMA: MWANAFUNZI WA RUCO ALIYECHOMWA MOTO AFARIKI.

 R.I.P Daniel Lema Kwa taarifa zilizotufikia hivi punde, mwanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha RUCO kilichopo mkoani Iringa Daniel Lema aliyekuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa mkoani …

Read more »
30 Jun 2014

MWANAFUNZI WA CHUO CHA RUAHA-IRINGA ACHOMWA MOTO AKIDHANIWA NI MWIZI.
MWANAFUNZI WA CHUO CHA RUAHA-IRINGA ACHOMWA MOTO AKIDHANIWA NI MWIZI.

 Mwanafunzi ambaye amefahamika kwa jina moja la LEMA Alikua akisoma mwaka wa 4 kozi ya sheria katika chuo kikuu kishiriki cha Mt.Augustino Tawi la Iringa (Ruaha University College-RUCO), mwanzoni m…

Read more »
27 Jun 2014

PICHA ZA MWENGE WA UHURU ULIVYOPOKELEWA MKOANI IRINGA

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk. Joel Bendera akimkabidhi mkuu wa Mkoa wa Iringa Dk. Christine Ishengoma Mwenge wa uhuru katika viwanja vya Ruaha Mbuyuni Sokoni. . Luteni Tanu Mlowezi mmoja wa wakimbi…

Read more »
26 Jun 2014

Kenyatta maarufu kwa Twitter Afrika

Rais Kenyatta amempiku Paul Kagame wa Rwanda kwa idadi ya wafuasi kwenye Twitter. Rais wa Kenya uhuru Kenyatta ndiye Rais anayejishughulisha zaidi kwenye mtandao wa Twitter barani Afrika. Kenyatta am…

Read more »
26 Jun 2014

Mlipuko waua 21 na kujeruhi 50 Nigeria.
Mlipuko waua 21 na kujeruhi 50 Nigeria.

Kumetokea shambulizi la bomu mbele ya soko lenye shughuli nyingi katika mji mkuu wa Nigeria Abuja na kuwauwa zaidi ya watu 21. Taswira ya majonzi na kilio imetanda katika mji wa Abuja, mamia ya watu…

Read more »
26 Jun 2014

WATANZANIA ZAIDI YA 50 KUNYONGWA NCHINI CHINA.
WATANZANIA ZAIDI YA 50 KUNYONGWA NCHINI CHINA.

Zaidi ya Watanzania 50 wamehukumiwa adhabu ya kifo nchini China baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya. Idadi hiyo ni kati ya Watanzania 403 wanaoshikiliwa katika…

Read more »
25 Jun 2014

Helikopta yadunguliwa na kuua 9 Ukraine.
Helikopta yadunguliwa na kuua 9 Ukraine.

Waasi wanaotaka kujitenga ambao wanaiunga mkono Urusi wamelipua ndege iliyokuwa imewabeba wanajeshi wa serikali na kuwauwa watu tisa. Shambulio hilo lilifanywa karibu na mji w…

Read more »
24 Jun 2014

Mwanamke aliyeasi uisilamu akamatwa tena

Taarifa kutoka nchini Sudan zinasema kuwa mwanamke aliyeachiliwa hapo jana kwa kosa la kuasi dini ya kiislamu amekamatwa tena. Mwanamke huyo Meriam Ibrahim, alikuwa amehukumiwa kifo kwa kosa la kuol…

Read more »
24 Jun 2014

MWILI WA MTOTO MCHANGA WAOKOTWA NDANI YA DAMPO

Vitendo vya kikatili bado vinaendelea kuripotiwa mjini Iringa ambapo leo mwili wa mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi 7 umeokotwa ukiwa umetupwa ndani ya dampo la taka katikati ya manis…

Read more »
23 Jun 2014

WATOTO WACHANJWA CHALE KAMA WANYAMA.

Utamaduni wa kujiweka makovu Afrika. Kutia alama mwilini umekuwa utamaduni kwa miongo kadhaa katika maeneo tofauti barani Afrika ili kuashiria urithi wa kikabila. Vitendo hivi hata hivyo vinapungua …

Read more »
21 Jun 2014

UNYAMA; AUNGUZWA NA MCHUZI WA NYAMA NA MAMA YAKE MZAZI.

Hivi karibuni tu kumekuwa kukiripotiwa kuwepo kwa mautukio tofauti ya unyanyasaji akiwemo Marehemu mtoto Nasra Mohamed kule Morogoro, lakini bado jamii haijalichukua hilo kama funzo badala yake wapo …

Read more »
19 Jun 2014

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE;Rais Kenyatta asema mauaji nchini humo yameshinikizwa kisisasa

  Nani aliyefanya mauaji Mpeketo?  Rais Uhuru Kenyatta amesema yalichochewa kisiasa lakini Al Shabaab wamekiri ndio walioyafanya.  Mauaji ya Mpeketo yemesababisha vifo vya watu zaidi ya hamsini. Rais…

Read more »
17 Jun 2014

Obama; Wanajeshi 275 wa Marekani kupelekwa Iraq
Obama; Wanajeshi 275 wa Marekani kupelekwa Iraq

Rais wa Marekani Barack Obama ameliambia bunge kuwa Marekani inawapeleka wanajeshi wake 275 kwenda kutoa msaada na kuweka usalama kwa wafanyakazi wa Marekani na ubalozi wake mjini Baghdad, Iraq. Ha…

Read more »
16 Jun 2014

PICHA ZA MASAHAMBULIZI YA AL SHABAB

Read more »
16 Jun 2014

Al Shabaab lakiri kuishambulia Kenya

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 …

Read more »
16 Jun 2014

Mwanamziki apasuliwa huku akiimba
Mwanamziki apasuliwa huku akiimba

Alama Kante afanyiwa upasuaji Katika tukio la kwanza la aina yake mwanamuziki mmoja nchini Ufarasa amefanyiwa upasuaji kuondoa uvimbe kooni huku akiimba. Madaktari wanasema hatua hiyo ilichukuliwa i…

Read more »
16 Jun 2014

PICHA; MLINZI AUAWA KIKATILI NJOMBE.

 Mlinzi wa maduka matatu mjini Njombe Adamu Kiswaga mkazi wa mtaa wa Ramadhani mwenye umri Kati ya miaka 45-50 ameuawa na watu wasiofahamika usiku wa Kuamkia jana akiwa katika eneo lake la kazi Tukio…

Read more »
05 Jun 2014
 
Top