Msanii wa muziki Recho almaarufu kama Recho Upepo ambaye alitamba na nyimbo kama Upepo, Kizunguzungu, amefunguka na kusema kuwa yeye hatumii madawa ya kulevya kama ambavyo watu mtaani wanavyodai. …
Ziara ya Obama nchini Kenya;Barabara na viwanja vya ndege kufungwa kwa siku tatu.
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 …
KUMBE KUNA JOGOO WASIO WEZA KU DU!! SIKILIZA KACHUMBARI YA KINGS RADIO SAA 10:00 Asbh
Mfanyabiashara mmoja mwanamke mjini Njombe ameshangazwa kuona kuku wake hawatagi kwa muda mrefu wakati jogoo aliyemnunua alikuwepo lakini alichokigundua ni kuwa jogoo huyo hakuwa na uwezo wa kumpanda…
Christian bella alifanya nirudie kuimba -Linah
Msanii Linah Sanga amefunguka na kusema kuwa katika wimbo wake mpya ambao amefanya na Christian Bella ilibidi afute mistari yake ili kwenda sawa na Christian Bella baada ya kuona amefunikwa katika …
Rais wa Kenya apata tuzo ya kiongozi bora Afrika.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameteuliwa kuwa rais bora barani Afrika katika mwaka 2014-2015. Chama cha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Barani Afrika (AASU) kimemtunuku Rais Kenyatta tuzo hiyo kutokana na j…
Wanne washindwa kurudisha fomu za urais CCM
Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania bara Rajab Luhavi. Hatiamaye zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kwa makada wa chama cha mapinduzi ccm wanaowania kuchaguliwa kugombea urais limemalizika ambapo …