Halida Ng'anguli akiwa ameanguka nje ya choo katika uwanja wa kumbukumbu ya Samora kabla ya kufariki dunia. WAKATI waislamu nchini jana wakiungana na waislamu wenzao duniani kuswal…
Israel yaendeleza mashambulizi makali
Mabaki ya vifusi baada ya mashambulizi katika eneo la Gaza Israel imeendeleza mashambulizi dhidi ya wapiganaji wa Hamas katika eneo la Gaza baada ya mashambu…
JUHUDI ZA KUTAFUTA AMANI GAZA GIZANI
Israeli imeendelea kuivirumishia makombora Gaza kucha kutwa ,huku kikao cha mawaziri wa baraza la Usalama kikitarajiwa huko Marekani kujadili mapendekezo mapya ya wito wa kusitishwa mapigano kwa …
MKONO SWETA WACHOCHEA MAAMBUKIZI YA UKIMWI NJOMBE.
Mkuu wa wilaya ya NjombeSarah Dumba. PAMOJA na kuwa mmoja kati ya mikoa 12 nchini iliyopewa kipaumbele katika kampeni ya tohara kwa wanaume, mkoa wa Njombe unaelezwa kuwa na idadi ku…
VIUNGO VYA BINADAMU VYAKUTWA JALALANI JIJINI DAR. WATU 8 MBARONI.
Mafurushi ya viungo vya binadamu yalikutwa jalalani hapo Watu wanane wanashikiliwa na polisi wakiwemo Madaktari kwa tuhuma za kuhusika kwenye tukio l a kutupwa kwa mabaki ya miili ya binadamu jana …
HOUSEBOY ALIYE MCHINJA MTOTO WA BOSI WAKE KILA KULA UBONGO WAKE.
Tunaomba radhi kwa picha hizi laiki ndivyo dunia ilikofika kwa sasa. Huyu ndiye house boy huko Marangu mtoni mkoani Moshi ambaye alimkatakata kichwa mtoto wa bosi wake kisha kula ubongo wa mtoto huyo…
WANAKIJJI WATAKA BANGI IHALALISHWE TZ
Huku harakati za kutaka matumizi ya Bangi kuhalalishwa zikishika kasi katika sehemu mbali mbali duniani, Tanzania haijaachwa nyuma. Wanakijiji katika wilaya ya Makete , mkoa wa Njombe Kusini Magha…
AJALI ILIVYOUA WATU WATATU WA FAMILIA MOJA MKOANI IRINGA
Ghafla eneo hili liligeuka kuwa kama sehemu ambayo wakaaji walihama muda mrefu. Roli hilo baada ya ajali. WATU watatu wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruh…
Ndege ya Malaysia yadaiwa kuwa ilishambuliwa!
Mabaki ya ndege ya Malaysia iliyodunguliwa Maafisa nchini Ukraine wanasema kuwa ndege ya abiria iliyoanguka nchini humo ilidunguliwa katika eneo la mashariki mwa taifa hilo ambako waasi wanaoiunga …
Ndege ya Malaysia yaua 295 Ukraine
Kuanguka kwa ndege ya Malaysia si ajali,bali shambulio la kigaidi yasema Ukraine Ndege ya shirika la Malaysian ikiwa na abiria 295 imeanguka Mashariki mwa Ukraine ikiwa safarini kutoka Amsterdam h…
HABARI YA MJINI: IJUE TIMU YA JAMBO BEAT YA EBONY FM
"Jambo beat" bila shaka jina hili linakukumbusha vitu vingi sana msikilizaji wa Ebony fm radio kutoka nyanda za juu kusini kutokana na umahili wa kipindi hiki cha redio. Kipindi cha Jambo beat ambac…
EBONY FM ILIVYOTIA MGUU ITUNUNDU PAWAGA KATIKA ZIARA YA KWANZA YA KAMPENI YA NI WEWE!
Wananchi wa Itunundu Pawaga wilayani Iringa wakiisubiri timu ya Ebony fm siku ya jumamnne katika ziara ya kwanza ya Ni wewe Kampeni. Raimond Francis mtangazaji wa kipindi cha Morning talk akizungum…
PICHA ZA WALIOFUKIWA NA KIFUSI HUKO KILIMANJARO JANA.
Wananchi katika kijiji cha Masaera wilaya ya Moshi vijijini wakifukua kifusi ili kuopoa mwili wa mmoja kati ya watu wawili waliofukiwa wakati wakishighulisha na shughuli ya uchorongaji wa Tofali …