Latest

04:12 AM MAKALA

 Wananchi katika kijiji cha Masaera wilaya ya Moshi vijijini wakifukua kifusi ili kuopoa mwili wa mmoja kati ya watu wawili waliofukiwa wakati wakishighulisha na shughuli ya uchorongaji wa Tofali katika machimbo ya Longoma.






                                         Shughuli za kufukua kifusi katika eneo hilo ukaendelea .

 Licha ya kukabiliwa na changamoto ya zana hafifu kwa ajili ya zoezi la ufukuaji wa vifusi katika tukio hilo la kufukiwa kwa tu wawili vijana katika eneo hilo walifanya shughuli kwa hari.
                                          Hatimaye mwili wa kijana huyo ukaonekana.
                                                     Mwili ukaopolewa toka katika kifusi.

 Hivi ndivyo vijana wa eneo hilo wakawa wamefanikisha kupatikana mwili wa mwenzao.


                                                       Mwili wa kijana Shukuru Temu ukishushwa toka katika machimbo ya Rongoma .
16 Jul 2014

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top