Latest

04:12 AM MAKALA



Watu wakitimua mbio na wengine wakijaribu kuokoa baadhi ya bidhaa katika maduka yao.
Moto mkubwa unateketeza baadhi ya maduka/majengo yanayozunguka eneo la hospitali ya Mwananyamala jijini DSM ambapo hadi hivi sasa nyumba 3 zimekwisha teketea kwa moto ambao bado unaendelea kuwaka kwa kasi kuelekea nyumba zingine zilizopo jirani.
15 Jul 2014

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top