Latest

04:12 AM MAKALA

 Huko nchini China na mkulima moja anayeishi Saghai nchini humo amesababisha foleni kubwa barabarani baada ya kuwatembeza bata wake barabarani humo…

Watu walitumia muda mrefu sana kuisubuiri mifugo hiyo ipite kwani ilitapakaa barabarani na kilichowafanya watu washangae na washindwe kuchukua hatua kwa mkulima huyo ni mifuugo yenyewe kwani waalikuwa ni bata 5000 aliowatembeza barabarani na mwendo wao ulikuwa mdogo sana kiasi cha kuwafurahisha watu…

Ila watu walipo amua kumuuliza ni sababu ipi inayomfanya afanye tukio hilo mkulima huyo alisema bata wake wamekaa kwa muda mrefu ndani bila ya kutoka nje ndio maana ameamua kuwate mbeza barabarani ili wapate kunyoosha viungo vyao na kufanya mazoezi…

Unaweza tembelea website yetu ili kujionea picha hiyo jinsi hali ilivyokuwa…..


22 Aug 2014

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top