Ajuza mwenye umri wa miaka 80 alimpiga mwizi usoni mwake nchini Uingereza na kumuogopesha kiasi cha kutoroka. Mwanamke huyo, alikuwa anamtembeza Mbwa wake katika mtaa wa Whitstable, Kent, wakati ja…
NA HII SASA NI ZAIDI YA DARASA:SAMAKI AFANYIWA OPARESHEN
Mmiliki wa 'George' alitaka kuona ikiwa Samaki huyo atapona kwa kufanyiwa upasuaji au la. Samaki aina ya Goldfish, anaendelea kupata nafuu baada ya kufanyiwa upasuaji kutolewa uvimbe kwenye ubongo …
WANAJESHI 12 KUNYONGWA NIGERIA
Wanajeshi 12 wahukumiwa kifo kwa kukiuka kanuni za jeshi. Wanajeshi kumi na wawili nchini Nigeria wamepewa adhabu ya kifo kwa uasi pamoja na jaribio la mauji. Hii ni baada ya kumfyatuliwa bunduki …
Baba aua watoto watano-Marekani
Timothy baba wa watoto watano,aliowatoa uhai. Mwanamume mmoja raia wa Marekani anashukiwa kuwaua watoto wake watano na kuwatupa katika jimbo jingine, hii ni kwa muujibu wa polisi nchini humo. Tim…
RAIS GOODLUCK JONATHAN AAGIZA MABANGO YANG'OLEWE
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ameamuru mabango ya hekeheka za uchaguzi yenye nembo ya kauli mbiu ya 'Bring Back Jonathan 2015' yang'olewe mara moja. Mabango hayo yamelaaniwa vikali kwenye mita…
MWANAFUNZI MGONJWA KUFANYA MTIHANI WA DARASA SA SABA AKIWA KITANDANI
Wakati wanafunzi wa shule za msingi wanatarajia kuanza kufanya mtihani wa kuhitimu elimu hiyo kesho nchini kote; Ebeneza Mtivike wa shule ya msingi Ikelu iliyoko katika Halmashauri ya Mji Makambako …
ALIYETAKA KUMZIKA MWANAE AKIWA HAI AKAMATWA NA POLISI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma. ALIYETAKA kumzika mtoto wake akiwa hai baada ya ng’ombe wao aliyekuwa akimchunga kuliwa na mamba alipopelekwa kunywa maji katika Mto Ruvuma, anashikiliwa na Polisi b…
UHABA WA CHAKULA SUDANI KUSINI
Wanawake wanaponda na kusaga mbegu za maua ya Lily ili kuzipik. Mwandishi wa BBC Emmanuel Igunza ametembelea kijiji kimoja nchini Sudan Kusini ambapo watu wamelazimika kula mbegu na majani kutoka…
Mtoto wa Obasanjo apigwa risasi Nigeria.
Wanamgambo wa Boko Haram. Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Nigeria, Olesugun Obasanjo amejeruhiwa kwa risasi wakati wa mapambano na wanamgambo wa kiislamu Boko Haram. Lute…
WAFANYAKAZI WA KILOMBERO NORTH SAFARIS WAWABUGUDHI WAGENI KATIKA ENEO LA MWEKEZAJI.
Kaimu Mkurugenzi wa Mkwawa Hunting Safaris, Mohamed Huwel (wa pili kulia) akieleza jinsi kampuni yake ilivyosikitishwa na tukio la wageni wake kuvamiwa na wafanyakazi wa Kilombero North Safaris. …
ASKOFU MTETEMELA ASEMA HANA SHIDA KAMA NCHI ITAPATA RAIS KIJANA.
ASKOFU Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela amesema haoni shida nchi ikipata rais kijana wakati akizungumzia sifa za rais ajaye. Kati ya wagombea lukuki walioonesha nia ya k…
WATU 200 WAUAWA NA MAFURIKO INDIA
Mafuriko katika eneo la Kashmir. Mafuriko yamewaua zaidi ya watu 200 nchini India na Pakistan huku watabiri wa hali ya hewa wakisema kuwa mvua zaidi inatarajiwa kunyesha. Maje…
Misri:Viongozi wakataza unenguaji viuno
Densi ya kunengua viuno na tumbo ya 'Belly Dance nchini Misri. Bodi ya kidini ya misri, imetoa fatwa kukataza uonyeshaji wa kipindi kilichoanzishwa kwenye televesheni nchini humo kuonyesha densi y…
Mwandishi mwingine "achinjwa"
Mwandishi aliyechinjwa na IS Steven Sotloff. Wapiganaji wa dola ya Kiislam IS wamesambaza picha za video katika mitandao kwa lengo la kuonyesha kuchinjwa kwa mwandishi wa habari raia Marekani Steve…
Obama kuongeza vikosi Iraq
Rais Barack Obama. Rais Barack Obama wa Marekani ameidhinisha kupelekwa vikosi vya wanajeshi wapatao 350 kwa lengo la kuwalinda wanadiplomasia na wafanyakazi raia wa …