Wanamgambo wa Boko Haram.
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Nigeria, Olesugun
Obasanjo amejeruhiwa kwa risasi wakati wa mapambano na wanamgambo wa
kiislamu Boko Haram.
Msemaji wa zamani wa Olusegun Obasanjo ameiambia BBC kuwa kanali Adeboye anaendela vizuri.
Wakazi wa eneo hilo wanasema kuwa maelfu ya watu wameyakimbia makazi yao, wanajeshi wameondoka kwenye kambi za kijeshi na chuo katika jimbo hilo kufungwa.
Wanamgambo wa Boko haram wamedhibiti miji mingi kaskazini mashariki na kutangaza kuwa himaya za kiislamu
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.