Mwimbaji
maarufu wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Flora Mbasha, amekwenda katika
mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar-Es-Salaam,akiomba kuvunjwa kwa ndoa
yake na mumewe Emanuel Mbasha.
Flora amefungua kesi ya madai namba 64 ya mwaka
huu kesi ambayo inasikilizwa na hakimu mkazi,Devota Kisoka. Flora anadai kuomba
kuvunja ndoa hiyo na apewe talaka ni kutokana na tabia ya mumewe
kumpiga,kumnyanyasa na kushindwa kumpatia matibabu.
Katika hati hiyo ya
madaianaendelea kudai kwamba mgogoro wao waliwahi kuufikisha kwa ustawi wa
jamii,kwa ajili ya upatanishi lakini ilishindikana wakashauriwa walifikishe
suala lao mahakamani.
Flora anaiomba mahakama itoe talaka,iamuru aendelee kukaa
na mtoto,matunzo ya mtoto yatoke kwa mbasha na wagawane mali walizochuma pamoja.
Home
»
»Unlabelled
» HATIMAYE FLORA MBASHA ADAI TALAKA
Recent Posts
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.