Kisiwa cha Pemba nchini Tanzania kimekuwa maarufu kwa kilimo cha karafuu
visiwani Zanzibar kwa miaka mingi tangu enzi za utawala wa Kiarabu
visiwani humo.
Hata hivyo zao hilo limekuwa likikumbwa na changamoto mbalimbali
zikiwemo za kushuka kwa bei ya karafuu katika soko la dunia na hivyo
kuathiri uchumi wa Zanzibar.
Katika kukabiliana na hali hiyo, serikali ya Zanzibar imekuwa ikitilia
umuhimu sekta ya utalii, ambapo huko kisiwani Pemba kumejengwa hoteli ya
aina yake, ambayo moja ya vyumba vyake kimejengwa chini ya bahari.
Home
»
»Unlabelled
» Hoteli iliyo chini ya bahari Pemba.
Recent Posts
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.