NA HII SASA NI ZAIDI YA DARASA. Tumezoea kuona wahudumu katika maeneo mbalimbali ya kujipatia mahitaji nchini wakiwa ni wanawake au wanaume lakini ni binadamu. Na kwa maeneo ya migahawani hali imekuwa hivyo hivyo lakini huko nchini Japan hali imekuwa tofauti kabisa. Mhagawa mmoja huko Japan unahudumiwa na Sokwe na wanauwezo wa kutoa huduma kwa umakini na kwa kuzingatia muda huku wateja wengi wakivutiwa na huduama zao na bosi wao kunufaika kupitia uhalali wa mauzo yanayokabidhiwa mwisho wa siku.

21 Apr 2014

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top