Latest

04:12 AM MAKALA


Misitu ni mali.....

Kauli mbiu ambayo imezoeleka kutumiaka nchini Tanzania kwaajili ya kutunza misitu na kuhamasisha wanachi wapande miti....

Na
wakati  serikali ya Tanzania ikihamasisha wananchi kupanda mti ,Kuna nchi huko barani Asia kuna mtu amepanda miti mingi na mpaka imefika hali ya kuitwa msitu ......

Je unajua ni nchi gani?

Basi kama ulikuwa hujui nchi hiyo ni India na mtu huyo anaitawa lone na ni raia wa nchi hiyo amepanda hekta 1360 kwa miaka 30 bila kusaidiwa na mtu yoyote....

U
naweza tembelea ukursa wetu wa Ebony fm  ukajionea picha ya mtu huyo na miti aliyoipanda.

ZAIDI YA DARASA

 

 

21 Apr 2014

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top