Latest

04:12 AM MAKALA

MTI WA MAAJABU; UNAZAA MATUNDA YENYE UMBO LA BINAADAMU.

Duniani kuna maajabu, mti huu unaotoa matunda yenye umbo la binadamu huko nchini Thailand na kuzaa kila baada ya miaka 20. Haya ndiyo maajabu ya dunia, ukistaajabu ya Musa utaona ya mti huu wa maa…

Read more »
28 Aug 2014

PANYA WAMLA MTOTO AFRIKA KUSINI

 Panya wamla mtoto huko Alexandra, Johannesburg. Taarifa kutoka mjini Johannesburg Afrika Kusini zinasema - kuwa panya walimng'ata mtoto wa mwezi mmoja vidole na pua. Mtoto huyo…

Read more »
27 Aug 2014

WALIMU WA SHULE YA SEKONDARI KIHESA WAGOMA
WALIMU WA SHULE YA SEKONDARI KIHESA WAGOMA

  Dada mkuu wa wa shule Neema Mtisi akizungumza na wanahabari kuhusu namna wanavyoathirika kielimu. Kwa muda wa siku mbili  walimu katika shule ya sekondari ya Kihesa iliyopo manispaa ya Iringa wamee…

Read more »
22 Aug 2014

ZAIDI YA DARASA: BATA WASABABISHA FOLENI BARABARANI

 Huko nchini China na mkulima moja anayeishi Saghai nchini humo amesababisha foleni kubwa barabarani baada ya kuwatembeza bata wake barabarani humo… Watu walitumia muda mrefu sana kuisubuiri mifugo h…

Read more »
22 Aug 2014

Mwafrika mwingine auawa Missouri Marekani
Mwafrika mwingine auawa Missouri Marekani

Waandamanaji St Louis. Mauaji mengine ya raia wa kiafrika yaliyofanywa na polisi katika eneo la St Louis yameongeza hali ya wasiwasi na vurugu katika eneo hilo ambalo kwa takriban siku 11 sasa kume…

Read more »
20 Aug 2014

MTOTO WA JACKIE CHAIN CHAN AKAMATWA NA BANGI

 Jaycee akiwa na Babake Jackie Chan. Mwanawe muigazaji nyota wa Hollywood Jackie Chan amekamatwa kwa madai alitumia mihadarati. Jaycee Chan, 31, ambaye mwenyewe ni msanii pam…

Read more »
19 Aug 2014

MUVIMA YAKABIDHI ZAWANDI KWA WASHINDI LIGI YA KOMBE LA MUVIMA

 Wa kwanza kushoto ni Makamu mkurugenzi MUVIMA Albert Chalamila, katikati aliyeshika mpira ndiye Mkurugenzi mkuu MUVIMA Cossato Chumi. Mashindano ya Kombe la Muvima yaliyomalizika hivi karibuni wila…

Read more »
19 Aug 2014

Ebola:Wagonjwa 17 hawajulikani waliko.

Mmoja wa wanaume waliovamia kituo hicho na kumbeba mgonjwa Waziri wa habari wa Liberia Lewis Brown amesema kuwa wagonjwa 17 kati ya 37 waliokuwa katika zahanati iliyokuwa ikitumika kama kituo cha k…

Read more »
18 Aug 2014

Azuiwa kuingia Dubai akihofiwa kuwa ni mchawi

 Uso wake Rolf Bushholz ulivyo na maumbile kama pembe. Mwanaume mmoja kutoka Ujerumani anayeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa mtu aliyetoboa zaidi mwili wake, Rolf Buchholz amekatazwa kuingia Dubai.…

Read more »
18 Aug 2014

Zahanati ya ebola Monrovia yavamiwa.
Zahanati ya ebola Monrovia yavamiwa.

Taarifa kutoka Liberia zinasema kuwa kituo kilichotengwa na kuwekewa karantini kwa sababu ya ebola, kimeshambuliwa na zana kuibiwa mjini Monrovia. Baadhi ya ripoti zinasema wagonjwa kadha wameondo…

Read more »
17 Aug 2014

Bi. Mugabe ateuliwa kuongoza ZANU-PF

 Bi Mugabe ameteuliwa kuongoza kitengo cha wanawake katika ZANU-PF. Mkewe rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ameingia katika uongozi wa chama tawala cha Zanu-PF . Grace 49 ameteuliwa kuongoza kitengo cha…

Read more »
17 Aug 2014

KITU USICHOKIJUA KUHUSU HUYU JAMAA ANAEKWENDA KWA JINA LA DJ MUSTARD
KITU USICHOKIJUA KUHUSU HUYU JAMAA ANAEKWENDA KWA JINA LA DJ MUSTARD

Read more »
16 Aug 2014

MTOTO ALIYEUAWA NA MBWA WILAYANI LUDEWA, MMILIKI WA MBWA AHOJIWA NA EBONY FM

 Picha ya marehemu Ibrahim Faraja Chipungahelo enzi za uhai wake. Tukio la mtoto wa umri wa miaka 9 kuuawa na kisha kuliwa na mbwa lililotokea hivi karibuni wilayani Ludewa Mkoani Njombe lilizua tafl…

Read more »
15 Aug 2014

Mbabe wa vita mbioni nchini Somalia.
Mbabe wa vita mbioni nchini Somalia.

10 walifariki katika mapigano yaliyozuka baada ya wanajeshi kushambulia makazi ya Dai. Mapiganao makali yamezuka katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu. Hi ni baada ya vikosi vya serikali kuzindua op…

Read more »
15 Aug 2014

Apokonywa dhahabu kwa kuvua shati lake.

Mekhissi-Benabbad anawapungua watu mikono akiwa na shati lake mdomoni Mwanariadha wa Ufaransa, Mahiedine Mekhissi-Benabbad amepokonywa medali yake ya dhahabu, aliyotarajiwa kuipata baada ya kushinda…

Read more »
15 Aug 2014

Mkono wa rubani wang'ooka hewani
Mkono wa rubani wang'ooka hewani

Mkono wa Rubani uling'ooka akitaka kutua kwa dharura. Rubani mmoja nchini Uingereza alipoteza mwelekeo angani akiendesha ndege ya biria baada ya mkono wake wa bandia kuchomoka wakati alipokua akie…

Read more »
14 Aug 2014

YATIMA APIGWA NA DADA YAKE KISHA KUNG'ATWA NA MENO.

  Christina akiwa nyumbani kwa mama Gladness Williamu alipo fika kuomba kazi                       Mapema leo katikati ya mji wa Mafinga wilayani Mufindi mkoani Iringa, mtoto wa kike mwenye umri wa m…

Read more »
14 Aug 2014
 
Top