Latest

04:12 AM MAKALA

TAKUKURU YAMBURUTA KORTINI MBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI.
TAKUKURU YAMBURUTA KORTINI MBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI.

Bernard Murunya. Waliokuwa watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwamo aliyekuwa Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka hiyo ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Bernard Murunya wamepa…

Read more »
24 Dec 2014

MAJAMBAZI DAR YAUA MPITA NJIA BAADA YA KUFANYA UPORAJI WA MAMILIONI.
MAJAMBAZI DAR YAUA MPITA NJIA BAADA YA KUFANYA UPORAJI WA MAMILIONI.

Tafrani ilizuka Dar es Salaam na mjini Tunduru, mkoani Ruvuma, baada ya majambazi kuua mtu mmoja na kupora zaidi ya Sh10 milioni katika matukio mawili tofauti. Tukio la kwanza lilitokea jana katika e…

Read more »
24 Dec 2014

DAKTARI MLEVI ACHAPWA NA WAGONJWA,AVULIWA CHEO.
DAKTARI MLEVI ACHAPWA NA WAGONJWA,AVULIWA CHEO.

Wagonjwa wakimtia adabu Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Nyakabale mkoani Geita, Josephat Msafiri baada ya kuwatelekeza juzi. Picha Jackline Masinde. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya …

Read more »
24 Dec 2014

Gari linaloweza kujiegesha kwa kutumia saa

 Kampuni ya BMW imezindua kifaa ambacho kinawezesha gari lako kujiegesha lenyewe Hakuna kitu kibaya kama kusahau ulikoegesha gari lako katika jengo la kuegeshea magari lenye goraf nyingi. Lakini hivi…

Read more »
22 Dec 2014

WANANCHI WILAYANI MUFINDI WAMTUHUMU MJUMBE WA NEC (CCM) IRINGA KUWANYANG'ANYA ARDHI
WANANCHI WILAYANI MUFINDI WAMTUHUMU MJUMBE WA NEC (CCM) IRINGA KUWANYANG'ANYA ARDHI

Wananchi wa kijiji cha Chogo kata ya mapanda wilayani mufindi mkoani Iringa wamelalamikia kuhusu kuny”ang”anywa kinguvu ardhi yao zaidi ya  hekari 500 ambazo ni mali ya kijiji hicho.   Wakizungumza n…

Read more »
21 Dec 2014

Hatma ya Escrow leo
Hatma ya Escrow leo

RAIS Jakaya Kikwete, leo anatarajiwa kukata mzizi wa fitina kwa kutoa maamuzi juu ya mapendekezo nane yaliyowasilishwa kwake na Bunge, kutokana na sakata lililozua mtafaruku bungeni la akaunti ya T…

Read more »
21 Dec 2014

TAXI USAFIRI SALAMA KULIKO MWINGINE WOWOTE MKOANI IRINGA

 Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa, Leopold Fungu akitoa taarifa ya matukio ya ajali mkoani Iringa.  Taxi zilikuwepo kwenye maadhimisho hayo.  Maandamano yaliongozwa na Brass Band …

Read more »
21 Dec 2014

MWANDISHI WA UHURU NA MZALENDO ATANGAZA NIA YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IRINGA MJINI
MWANDISHI WA UHURU NA MZALENDO ATANGAZA NIA YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IRINGA MJINI

MWANAHABARI Frank Kibiki, aliyewahi kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ngazi ya wilaya kwa zaidi ya miaka 10, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini…

Read more »
21 Dec 2014

HATIMAYE FLORA MBASHA ADAI TALAKA
HATIMAYE FLORA MBASHA ADAI TALAKA

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Flora Mbasha, amekwenda katika mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar-Es-Salaam,akiomba kuvunjwa kwa ndoa yake na mumewe Emanuel Mbasha.  Flo…

Read more »
18 Dec 2014

WABUNGE KENYA WADUNDANA BUNGENI

Wabunge wa Kenya wametofautiana vikali bungeni na kuvuana mashati huku wakirushiana ngumi kufuatia mjadala kuhusu mswada tatanishi wa usalama ambao wabunge wa upinzani wanasema unakiuka uhuru wa w…

Read more »
18 Dec 2014

ILEMBULA;DARAJA LA SOLODELA LABOMOLEWA, UJENZI WASUASUA.

Kubomolewa kwa Daraja la Solodela linalounganisha kata ya Ilembula na Luduga wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe kumepelekea ugumu wa shughuli za usafirishaji wa bidhaa ndani ya halmashauri hiyo. Dar…

Read more »
09 Dec 2014

Hoteli iliyo chini ya bahari Pemba.

 Kisiwa cha Pemba nchini Tanzania kimekuwa maarufu kwa kilimo cha karafuu visiwani Zanzibar kwa miaka mingi tangu enzi za utawala wa Kiarabu visiwani humo.  Hata hivyo zao hilo limekuwa likikumbwa …

Read more »
01 Dec 2014

Instagram yamtia matatani Balotelli
Instagram yamtia matatani Balotelli

Shirikisho la soka FA linachunguza ujumbe wa Instagram wa mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli unaodaiwa kuwa ni wa kibaguzi. Ballotel mwenye umri wa miaka 24 akijibu shutma dhidi yake kutoka…

Read more »
01 Dec 2014

Mwigizaji azabwa kofi kwa kuvalia nguo fupi!
Mwigizaji azabwa kofi kwa kuvalia nguo fupi!

                                                              Mwigizaji Gauhar Khan   Mwigizaji maarufu wa Bollywood ambaye pia ni mwanamitindo, Gauhar Khan, alizabwa kofi wakati wa shughuli ya kur…

Read more »
01 Dec 2014
 
Top