Halida Ng'anguli akiwa ameanguka nje
ya choo katika uwanja wa kumbukumbu ya Samora kabla ya kufariki dunia.
WAKATI waislamu nchini jana wakiungana na waislamu wenzao
duniani kuswali sala ya Iddi, mkoani Iringa swali hiyo imemalizika
vibaya kufuatia kifo cha muumini mwenzao Halida Ng'anguli mkai mkazi wa wa
Mwangata C manispaa ya Iringa ambae ni shangazi wa manahabari wa gazeti la majira Iringa
Zuhura Zuhkeri kufariki dunia katiia hospitali ya mkoa baada ya masaa machache toka aanguke
chooni uwanja wa Samora.
Post a Comment