NA HII SASA NI ZAIDI YA DARASA:Ajuza amfundisha adabu jambazi.
NA HII SASA NI ZAIDI YA DARASA:Ajuza amfundisha adabu jambazi.

Ajuza mwenye umri wa miaka 80 alimpiga mwizi usoni mwake nchini Uingereza na kumuogopesha kiasi cha kutoroka. Mwanamke huyo, alikuwa ...

Read more »

NA HII SASA NI ZAIDI YA DARASA:SAMAKI AFANYIWA OPARESHEN
NA HII SASA NI ZAIDI YA DARASA:SAMAKI AFANYIWA OPARESHEN

Mmiliki wa 'George' alitaka kuona ikiwa Samaki huyo atapona kwa kufanyiwa upasuaji au la.   Samaki aina ya Goldfish, anaendelea...

Read more »

WANAJESHI 12 KUNYONGWA NIGERIA
WANAJESHI 12 KUNYONGWA NIGERIA

  Wanajeshi 12 wahukumiwa kifo kwa kukiuka kanuni za jeshi. Wanajeshi kumi na wawili nchini Nigeria wamepewa adhabu ya kifo kwa uasi pa...

Read more »

Baba aua watoto watano-Marekani
Baba aua watoto watano-Marekani

Timothy baba wa watoto watano,aliowatoa uhai.  Mwanamume mmoja raia wa Marekani anashukiwa kuwaua watoto wake watano na kuwatupa kati...

Read more »

RAIS GOODLUCK JONATHAN AAGIZA MABANGO YANG'OLEWE
RAIS GOODLUCK JONATHAN AAGIZA MABANGO YANG'OLEWE

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ameamuru mabango ya hekeheka za uchaguzi yenye nembo ya kauli mbiu ya 'Bring Back Jonathan 2015&...

Read more »

MWANAFUNZI MGONJWA KUFANYA MTIHANI WA DARASA SA SABA AKIWA KITANDANI
MWANAFUNZI MGONJWA KUFANYA MTIHANI WA DARASA SA SABA AKIWA KITANDANI

Wakati wanafunzi wa shule za msingi wanatarajia kuanza kufanya mtihani wa kuhitimu elimu hiyo kesho nchini kote; Ebeneza Mtivike   wa sh...

Read more »

ALIYETAKA KUMZIKA MWANAE AKIWA HAI AKAMATWA NA POLISI
ALIYETAKA KUMZIKA MWANAE AKIWA HAI AKAMATWA NA POLISI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma. ALIYETAKA kumzika mtoto wake akiwa hai baada ya ng’ombe wao aliyekuwa akimchunga kuliwa na mamba alipo...

Read more »

UHABA WA CHAKULA SUDANI KUSINI
UHABA WA CHAKULA SUDANI KUSINI

  Wanawake wanaponda na kusaga mbegu za maua ya Lily ili kuzipik. Mwandishi wa BBC Emmanuel Igunza ametembelea kijiji kimoja nchini Sud...

Read more »

Mtoto wa Obasanjo apigwa risasi Nigeria.
Mtoto wa Obasanjo apigwa risasi Nigeria.

                               Wanamgambo wa Boko Haram.   Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Nigeria, Olesugun Obasanjo amejeruhiwa kwa risas...

Read more »

WAFANYAKAZI WA KILOMBERO NORTH SAFARIS WAWABUGUDHI WAGENI KATIKA ENEO LA MWEKEZAJI.
WAFANYAKAZI WA KILOMBERO NORTH SAFARIS WAWABUGUDHI WAGENI KATIKA ENEO LA MWEKEZAJI.

 Kaimu Mkurugenzi wa Mkwawa Hunting Safaris, Mohamed Huwel (wa pili kulia) akieleza jinsi kampuni yake ilivyosikitishwa na tukio la wagen...

Read more »

ASKOFU MTETEMELA ASEMA HANA SHIDA KAMA NCHI ITAPATA RAIS KIJANA.
ASKOFU MTETEMELA ASEMA HANA SHIDA KAMA NCHI ITAPATA RAIS KIJANA.

ASKOFU Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela amesema haoni shida nchi ikipata rais kijana wakati akizungumzia si...

Read more »

WATU 200 WAUAWA NA MAFURIKO INDIA
WATU 200 WAUAWA NA MAFURIKO INDIA

 Mafuriko katika eneo la Kashmir. Mafuriko yamewaua zaidi ya watu 200 nchini India na Pakistan huku watabiri wa hali ya hewa wakisem...

Read more »

Misri:Viongozi wakataza unenguaji viuno
Misri:Viongozi wakataza unenguaji viuno

 Densi ya kunengua viuno na tumbo ya 'Belly Dance nchini Misri. Bodi ya kidini ya misri, imetoa fatwa kukataza uonyeshaji wa kip...

Read more »

Mwandishi mwingine "achinjwa"
Mwandishi mwingine "achinjwa"

Mwandishi aliyechinjwa na IS Steven Sotloff. Wapiganaji wa dola ya Kiislam IS wamesambaza picha za video katika mitandao kwa lengo la ...

Read more »

Obama kuongeza vikosi Iraq
Obama kuongeza vikosi Iraq

                               Rais Barack Obama. Rais Barack Obama wa Marekani ameidhinisha kupelekwa vikosi vya wanajeshi wapatao 35...

Read more »
 
Top