TAKUKURU YAMBURUTA KORTINI MBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI.
TAKUKURU YAMBURUTA KORTINI MBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI.

Bernard Murunya. Waliokuwa watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwamo aliyekuwa Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka hiyo ambaye kwa s...

Read more »

MAJAMBAZI DAR YAUA MPITA NJIA BAADA YA KUFANYA UPORAJI WA MAMILIONI.
MAJAMBAZI DAR YAUA MPITA NJIA BAADA YA KUFANYA UPORAJI WA MAMILIONI.

Tafrani ilizuka Dar es Salaam na mjini Tunduru, mkoani Ruvuma, baada ya majambazi kuua mtu mmoja na kupora zaidi ya Sh10 milioni katika m...

Read more »

DAKTARI MLEVI ACHAPWA NA WAGONJWA,AVULIWA CHEO.
DAKTARI MLEVI ACHAPWA NA WAGONJWA,AVULIWA CHEO.

Wagonjwa wakimtia adabu Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Nyakabale mkoani Geita, Josephat Msafiri baada ya kuwatelekeza juzi. Picha Ja...

Read more »

Gari linaloweza kujiegesha kwa kutumia saa
Gari linaloweza kujiegesha kwa kutumia saa

  Kampuni ya BMW imezindua kifaa ambacho kinawezesha gari lako kujiegesha lenyewe Hakuna kitu kibaya kama kusahau ulikoegesha gari lako k...

Read more »

WANANCHI WILAYANI MUFINDI WAMTUHUMU MJUMBE WA NEC (CCM) IRINGA KUWANYANG'ANYA ARDHI
WANANCHI WILAYANI MUFINDI WAMTUHUMU MJUMBE WA NEC (CCM) IRINGA KUWANYANG'ANYA ARDHI

Wananchi wa kijiji cha Chogo kata ya mapanda wilayani mufindi mkoani Iringa wamelalamikia kuhusu kuny”ang”anywa kinguvu ardhi yao zaidi y...

Read more »

Hatma ya Escrow leo
Hatma ya Escrow leo

RAIS Jakaya Kikwete, leo anatarajiwa kukata mzizi wa fitina kwa kutoa maamuzi juu ya mapendekezo nane yaliyowasilishwa kwake na Bunge, k...

Read more »

TAXI USAFIRI SALAMA KULIKO MWINGINE WOWOTE MKOANI IRINGA
TAXI USAFIRI SALAMA KULIKO MWINGINE WOWOTE MKOANI IRINGA

 Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa, Leopold Fungu akitoa taarifa ya matukio ya ajali mkoani Iringa.  Taxi zilikuwepo...

Read more »

MWANDISHI WA UHURU NA MZALENDO ATANGAZA NIA YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IRINGA MJINI
MWANDISHI WA UHURU NA MZALENDO ATANGAZA NIA YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IRINGA MJINI

MWANAHABARI Frank Kibiki, aliyewahi kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ngazi ya wilaya kwa zaidi ya miaka 10, ...

Read more »

HATIMAYE FLORA MBASHA ADAI TALAKA
HATIMAYE FLORA MBASHA ADAI TALAKA

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Flora Mbasha, amekwenda katika mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar-Es-Salaam,...

Read more »

WABUNGE KENYA WADUNDANA BUNGENI
WABUNGE KENYA WADUNDANA BUNGENI

Wabunge wa Kenya wametofautiana vikali bungeni na kuvuana mashati huku wakirushiana ngumi kufuatia mjadala kuhusu mswada tatanishi wa ...

Read more »

ILEMBULA;DARAJA LA SOLODELA LABOMOLEWA, UJENZI WASUASUA.
ILEMBULA;DARAJA LA SOLODELA LABOMOLEWA, UJENZI WASUASUA.

Kubomolewa kwa Daraja la Solodela linalounganisha kata ya Ilembula na Luduga wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe kumepelekea ugumu wa ...

Read more »

Hoteli iliyo chini ya bahari Pemba.
Hoteli iliyo chini ya bahari Pemba.

 Kisiwa cha Pemba nchini Tanzania kimekuwa maarufu kwa kilimo cha karafuu visiwani Zanzibar kwa miaka mingi tangu enzi za utawala wa Kiar...

Read more »

Instagram yamtia matatani Balotelli
Instagram yamtia matatani Balotelli

Shirikisho la soka FA linachunguza ujumbe wa Instagram wa mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli unaodaiwa kuwa ni wa kibaguzi. B...

Read more »

Mwigizaji azabwa kofi kwa kuvalia nguo fupi!
Mwigizaji azabwa kofi kwa kuvalia nguo fupi!

                                                              Mwigizaji Gauhar Khan    Mwigizaji maarufu wa Bollywood ambaye pia ni mw...

Read more »
 
Top