Suarez amuomba msahama Chiellini
Suarez amuomba msahama Chiellini

  Suarez amuomba msamaha Chiellini kwa mara ya kwanza Mshambulizi wa Uruguay na Liverpool ya Uingereza Luiz Suarez sasa amemuomba ms...

Read more »

SAFARI YA MWISHO YA MWANAFUNZI DANIEL LEMA.
SAFARI YA MWISHO YA MWANAFUNZI DANIEL LEMA.

Mwili wa Daniel Lema ukiagwa na baadhi ya wanachuo pamoja na raia waliojitokeza kuhudhuria ibada ya kuuaga mwili wa marehemu mapema asubuh...

Read more »

Athari za kutazama televisheni; Wapo waliopoteza maisha.
Athari za kutazama televisheni; Wapo waliopoteza maisha.

Watu wanaotazama runinga kwa saa tatu au zaidi kila siku wako katika hatari ya kuaga dunia mapema kuwaliko wale wanaotazama kwa muda m...

Read more »

R.I.P DANIEL LEMA: MWANAFUNZI WA RUCO ALIYECHOMWA MOTO AFARIKI.
R.I.P DANIEL LEMA: MWANAFUNZI WA RUCO ALIYECHOMWA MOTO AFARIKI.

  R.I.P Daniel Lema Kwa taarifa zilizotufikia hivi punde, mwanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha RUCO kilichopo mkoani Iringa Daniel Lem...

Read more »

MWANAFUNZI WA CHUO CHA RUAHA-IRINGA ACHOMWA MOTO AKIDHANIWA NI MWIZI.
MWANAFUNZI WA CHUO CHA RUAHA-IRINGA ACHOMWA MOTO AKIDHANIWA NI MWIZI.

  Mwanafunzi ambaye amefahamika kwa jina moja la LEMA Alikua akisoma mwaka wa 4 kozi ya sheria katika chuo kikuu kishiriki cha Mt.Au...

Read more »

PICHA ZA MWENGE WA UHURU ULIVYOPOKELEWA MKOANI IRINGA
PICHA ZA MWENGE WA UHURU ULIVYOPOKELEWA MKOANI IRINGA

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk. Joel Bendera akimkabidhi mkuu wa Mkoa wa Iringa Dk. Christine Ishengoma Mwenge wa uhuru katika viwanja vya ...

Read more »

Kenyatta maarufu kwa Twitter Afrika
Kenyatta maarufu kwa Twitter Afrika

Rais Kenyatta amempiku Paul Kagame wa Rwanda kwa idadi ya wafuasi kwenye Twitter. Rais wa Kenya uhuru Kenyatta ndiye Rais anayejishu...

Read more »

Mlipuko waua 21 na kujeruhi 50 Nigeria.
Mlipuko waua 21 na kujeruhi 50 Nigeria.

Kumetokea shambulizi la bomu mbele ya soko lenye shughuli nyingi katika mji mkuu wa Nigeria Abuja na kuwauwa zaidi ya watu 21. Taswira...

Read more »

WATANZANIA ZAIDI YA 50 KUNYONGWA NCHINI CHINA.
WATANZANIA ZAIDI YA 50 KUNYONGWA NCHINI CHINA.

Zaidi ya Watanzania 50 wamehukumiwa adhabu ya kifo nchini China baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevy...

Read more »

Helikopta yadunguliwa na kuua 9 Ukraine.
Helikopta yadunguliwa na kuua 9 Ukraine.

Waasi wanaotaka kujitenga ambao wanaiunga mkono Urusi wamelipua ndege iliyokuwa imewabeba wanajeshi wa serikali na kuwauwa watu tisa. ...

Read more »

Mwanamke aliyeasi uisilamu akamatwa tena
Mwanamke aliyeasi uisilamu akamatwa tena

Taarifa kutoka nchini Sudan zinasema kuwa mwanamke aliyeachiliwa hapo jana kwa kosa la kuasi dini ya kiislamu amekamatwa tena. Mwanam...

Read more »

MWILI WA MTOTO MCHANGA WAOKOTWA NDANI YA DAMPO
MWILI WA MTOTO MCHANGA WAOKOTWA NDANI YA DAMPO

Vitendo vya kikatili bado vinaendelea kuripotiwa mjini Iringa ambapo leo mwili wa mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi 7 umeo...

Read more »

WATOTO WACHANJWA CHALE KAMA WANYAMA.
WATOTO WACHANJWA CHALE KAMA WANYAMA.

Utamaduni wa kujiweka makovu Afrika. Kutia alama mwilini umekuwa utamaduni kwa miongo kadhaa katika maeneo tofauti barani Afrika ili k...

Read more »

UNYAMA; AUNGUZWA NA MCHUZI WA NYAMA NA MAMA YAKE MZAZI.
UNYAMA; AUNGUZWA NA MCHUZI WA NYAMA NA MAMA YAKE MZAZI.

Hivi karibuni tu kumekuwa kukiripotiwa kuwepo kwa mautukio tofauti ya unyanyasaji akiwemo Marehemu mtoto Nasra Mohamed kule Morogoro, laki...

Read more »

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE;Rais Kenyatta asema mauaji nchini humo yameshinikizwa kisisasa
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE;Rais Kenyatta asema mauaji nchini humo yameshinikizwa kisisasa

  Nani aliyefanya mauaji Mpeketo?   Rais Uhuru Kenyatta amesema yalichochewa kisiasa lakini Al Shabaab wamekiri ndio walioyafanya. ...

Read more »

Obama; Wanajeshi 275 wa Marekani kupelekwa Iraq
Obama; Wanajeshi 275 wa Marekani kupelekwa Iraq

Rais wa Marekani Barack Obama ameliambia bunge kuwa Marekani inawapeleka wanajeshi wake 275 kwenda kutoa msaada na kuweka usalama kwa wa...

Read more »

PICHA ZA MASAHAMBULIZI YA AL SHABAB
PICHA ZA MASAHAMBULIZI YA AL SHABAB

Read more »

Al Shabaab lakiri kuishambulia Kenya
Al Shabaab lakiri kuishambulia Kenya

  Watu zaidi ta arobaini na tano wameuawa katika mashambulizi ya Mpeketoni. Kundi la wapiganaji wa Al Shabaab nchini Somalia,...

Read more »

Mwanamziki apasuliwa huku akiimba
Mwanamziki apasuliwa huku akiimba

Alama Kante afanyiwa upasuaji Katika tukio la kwanza la aina yake mwanamuziki mmoja nchini Ufarasa amefanyiwa upasuaji kuondoa uvim...

Read more »

PICHA; MLINZI AUAWA KIKATILI NJOMBE.
PICHA; MLINZI AUAWA KIKATILI NJOMBE.

  Mlinzi wa maduka matatu mjini Njombe Adamu Kiswaga mkazi wa mtaa wa Ramadhani   mwenye umri Kati ya miaka 45-...

Read more »
 
Top