Orodha ya barabara na viwanja vya ndege vitakavyofungwa wakati wa ziara ya Obama nchini Kenya.
Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya mapokezi ya Rais wa Marekani , Barack
Obama, kwa mara nyingine tena kutembelea Afrika, hivi karibuni akiwa na ulinzi
mkali.
Obama anakuwa rais wa kwanza wa Marekani rais kutembelea Kenya Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje
wa Marekani, John Kerry, kusafisha njia Kenya kwa ziara ya siku tatu
aliyoifanya mwanzoni mwa mwezi May.
Ziara hii ya kihistoria ambayo ataifanya kwa muda wa masaa 8 tu sawa na dakika 480, lakini mpaka sasa Ikulu ya Marekani ‘White House’ imezuia kutoa taarifa zaidi ikiwa ni pamoja na kutaja tarehe.
Katika ziara hiyo Baadhi ya viwanja vya ndege pamoja na barabara mashuhuri
nchini kenya vitafungwa kwa muda wa siku 3.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na idara ya usalama Nairobi, 30 Juni 2015,
barabara ya Mombasa na sehemu ya barabara ndogo (feeder) Zitafungwa.
BARABARA:
Siku ya Ijumaa 24, Julai 2015 barabara zitafungwa kuanzia saa 8:00 asubuhi mpaka Jumapili, Julai 27 saa 2:00 mchana.
Barabara zitakazoathirika ni pamoja na:
• Uhuru Highway - Bunyala Roundabout Chuo Kikuu Njia mzunguko wa barabara kupitia Ikulu Road na adjoining maeneo ya Westlands
• Haile Selassie Road - Uhuru H / njia mzunguko wa barabara kwa Uhuru Park mlango
• Uhuru Park - Haile Selassie Rd wa Kenyatta Avenue
• Kenyatta Avenue - Uhuru H / njia mzunguko wa barabara kwa Kimathi Street
• Harambee Avenue - Uhuru H / njia Junction kwa Luteni Tumbo Road
• Haile Selassie Road - Uhuru H / njia mzunguko wa barabara kwa mzunguko wa barabara Reli Station
• Mombasa Road - Uwanja wa Nyayo mzunguko wa barabara kwa Enterprise Road
• Langata Road - Uwanja wa Nyayo mzunguko wa barabara kwa Madaraka (NBI Afrika 'C') mzunguko wa barabara
Viwanja vya ndege:
1. Uwanja Kimataifa wa Jomo Kenyatta
2. Moi.
3. Wilson Airport
4. Kisumu.
5. Eldoret International Airport
Ndege Ratiba:
2. Moi.
3. Wilson Airport
4. Kisumu.
5. Eldoret International Airport
Ndege Ratiba:
Safari za ndege zitasitishwa masaa 72 kabla na masaa 12 baada ya kuondoka kwa Rais wa Marekani.
Ndege ya Category 1 Aircraf itahitaji kupata kibali kutoka KAA siku 7 kabla ya Rais fika.
Ziara ya kiongozi huyo wa taifa kubwa duniani ambaye ana asili ya
Kenya kutokana na baba yake, Hussein Obama kuwa ni raia wa Kenya, itakuwa na
ulinzi ambao hata mwenyeji wake, Rais Uhuru Kenyatta watakuwa kando.
Kwa mujibu wa taarifa za kiinteligensia walinzi wa Rais wa
Kenya, Uhuru Kenyatta, siku hiyo hawatakuwa na nafasi, aliyekubaliwa ni mpambe
wake tu ‘ADC’ na sektretari wake.
Vikosi vya ulinzi vya Marekani vinakusanya walinzi wa karibu wa
Rais wa Marekani ‘Secret Service,’ CIA na FBI pamoja na wakuu wa Ikulu tayari
wametua Kenya na kuwa na vikao na wakuu wa usalama nchini humo kupanga ziara ya
Obama.
Wamepanga kushika dola nzima ya ulinzi ya Kenya na majeshi ya nchi
hiyo.
Hata hivyo, Rais Obama alichelewa kuzuru Kenya kutokana na kesi ya
tuhuma ya uhalifu dhidi ya binadamu iliyokuwa ikimkabili Rais wa Kenya, Uhuru
Kenyatta, na Makamu wake, William Ruto, iliyofunguliwa katika Mahakama ya
Uhalifu wa Kivita (ICC) yenye makao makuu mjini the Hague.
Obama anadaiwa kukubali zira hiyo baada ya kufutwa kesi dhidi ya
viongozi hao kwa kukosekana ushahidi.
Mwaka jana baada ya kesi ya Uhuru Kenyatta kufutwa, Kenya
iliongeza idadi ya uagizaji wa bidhaa kutoka Marekani kwa asilimia 165.3 kuwa
dola bilioni 1.5 kutoka dola milioni 594.5.
Post a Comment